Hello from Tanzania 🇹🇿

Am a beginner to DApp, and here I am to learn more about ICP to become a Web3 DApps developer

4 Likes

Karibu sana! Tanzania ni nchi ambayo sisi twaipenda sana. Chukua muda wako kusoma na kuelewa https://internetcomputer.org. Ukishaelewa vile mtandao uko unaweza anza kuandika na kutumia Motoko kutengeneza DAPPs vile unavyotaka. Kama una swali, andika hapa kwa Forum na kuna watu wengi watakao kusaidia. Best of luck!

Asante sana @JxBrian